\v=19 \v~=Hata hivyo sikiliza dua ya mtumishi wako na maombi yake kwa huruma, Ee \nd Bwana\nd* Mungu wangu. Sikia kilio na dua ambayo mtumishi wako anaomba mbele zako siku hii ya leo. \¬v