\v=22 \v~=Watu watajibu, ‘Ni kwa sababu wamemwacha \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao, aliyewatoa Misri, nao wamekumbatia miungu mingine, wakaiabudu na kuitumikia, ndiyo sababu ameyaleta maafa haya yote juu yao.’ ” \¬v \¬pm \¬c