\v=3 \v~=Waisraeli wote walipoona moto ukishuka na utukufu wa \nd Bwana\nd* ukiwa juu ya Hekalu, wakapiga magoti sakafuni wakasujudu nyuso zao mpaka chini, nao wakamwabudu na kumshukuru \nd Bwana\nd* wakisema, \¬p \q1 \p~<