\v=6 \v~=Makuhani wakasimama kwenye nafasi zao, vivyo hivyo Walawi wakiwa na vyombo vya uimbaji vya \nd Bwana\nd* ambavyo Mfalme Daudi alikuwa ametengeneza kwa ajili ya kumsifu \nd Bwana\nd*, navyo vilitumika wakati aliposhukuru, akisema, “Upendo wake wadumu milele.” Mkabala na Walawi, makuhani walipiga tarumbeta zao, nao Waisraeli wote walikuwa wamesimama. \¬v \¬m