\p \v=16 \v~=Kazi yote ya Mfalme Solomoni ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la \nd Bwana\nd* ulipowekwa mpaka kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la \nd Bwana\nd* likamalizika kujengwa. \¬v \¬p