\v=11 \v~=Mfalme akatumia hiyo miti ya msandali kuwa ngazi kwa ajili ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na kwa jumba la kifalme, pia kwa kutengeneza vinubi na zeze kwa ajili ya waimbaji. Kiasi hicho kingi cha msandali hakijawahi kuingizwa Yuda tangu siku ile.) \¬v \¬p