\p \v=15 \v~=Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa. Kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600\f + \fr 9:15 \ft Shekeli 600 za dhahabu ni sawa na kilo 3.5.\f* \¬v