\p \v=9 \v~=Naye akampa mfalme talanta 120\f + \fr 9:9 \ft Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 4.5.\f* za dhahabu, kiasi kikubwa cha vikolezi na vito vya thamani. Haikuwahi kamwe kuletwa vikolezi vizuri kama vile Malkia wa Sheba alivyompa Mfalme Solomoni. \¬v \¬p