\v=24 \v~=naye akiisha kushukuru, akaumega, akasema, \wj “Huu ndio mwili wangu, uliotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”\wj* \¬v