\v=25 \v~=Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, \wj “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu. Fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu.”\wj* \¬v