\v=9 \v~=Lakini aliniambia, \wj “Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uweza wangu hukamilika katika udhaifu.”\wj* Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu. \¬v