\p \v=13 \v~=Nia yetu si kwamba wengine wasaidike wakati ninyi mnateseka, bali pawe na uwiano. \¬v