\p \v=4 \v~=Kwenye siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli,\f + \fr 10:4 \ft Hedekeli ndio Mto Tigrisi.\f* \¬v