\v=12 \v~=“Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani\f + \fr 1:12 \ft Nafaka na mboga za majani, yaani \fqa zeroimu \ft kwa Kiebrania, ina maana ya aina za ngano na shayiri, na jamii ya kunde kama maharagwe, dengu, choroko, n.k.\f* tule, na maji ya kunywa. \¬v