\p \v=4 \v~=Ndipo wanajimu wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu,\f + \fr 2:4 \ft Kutoka hapa hadi \+xt Dan 7:28,\+xt* mwandishi aliandika na Kiaramu.\f* “Ee mfalme, uishi milele! Waambie watumishi wako hiyo ndoto, nasi tutaifasiri.” \¬v \¬p