\p \v=10 \v~=Malkia\f + \fr 5:10 \ft Au: Mama yake mfalme.\f* aliposikia sauti za mfalme na wakuu wake, alikuja katika ukumbi wa karamu. Akasema, “Ee mfalme, uishi milele! Usishtuke! Usibadilike rangi kiasi hicho! \¬v