\v=10 \v~=Hatukumtii \nd Bwana\nd* Mungu wetu wala kuzishika sheria alizotupa kupitia kwa watumishi wake manabii. \¬v