\v=3 \v~=Kwa hiyo nikamgeukia \nd Bwana\nd* Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu. \¬v \¬p