\v=8 \v~=Ee \nd Bwana\nd*, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako. \¬v