\p \v=10 \v~=Basi nilikaa mlimani kwa siku arobaini usiku na mchana, kama nilivyofanya mara ya kwanza, pia \nd Bwana\nd* alinisikiliza hata wakati huu. Haikuwa nia yake kuwaangamiza. \¬v