\v=15 \v~=Hata hivyo \nd Bwana\nd* alikuwa na shauku na baba zako, akawapenda na akawachagua ninyi, wazao wao, kuliko mataifa yote, kama ilivyo leo. \¬v