\v=4 \v~=\nd Bwana\nd* akaandika juu ya hivi vibao kile alichokuwa amekiandika kabla, Amri Kumi alizokuwa amewatangazia juu mlimani, kutoka kwenye moto siku ile ya kusanyiko. \nd Bwana\nd* akanikabidhi. \¬v