\p \v=13 \v~=Hivyo kama mkiyatii maagizo yangu ninayowapa leo kwa uaminifu, yaani kwa kumpenda \nd Bwana\nd* Mungu wenu, na kumtumikia kwa moyo wako wote na kwa roho yenu yote, \¬v