\v=17 \v~=Ndipo hasira ya \nd Bwana\nd* itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo \nd Bwana\nd* anawapa. \¬v