\v=21 \v~=ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile \nd Bwana\nd* aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi. \¬v \¬p