\v=24 \v~=Kila mahali mtakapoweka mguu wenu patakuwa penu: Nchi yenu itaenea kutoka jangwa la Lebanoni, na kutoka mto wa Frati hadi bahari ya magharibi\f + \fr 11:24 \ft Yaani Bahari ya Mediterania.\f* \¬v