\v=25 \v~=Hapatakuwa na mtu atakayeweza kusimama dhidi yenu. \nd Bwana\nd* Mungu wenu, kama alivyoahidi, ataweka juu ya nchi yote utisho na hofu kwa ajili yenu popote mwendako. \¬v \¬p