\v=28 \v~=laana kama hamtatii maagizo ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua. \¬v