\v=9 \v~=ili mpate kuishi siku nyingi katika nchi ile ambayo \nd Bwana\nd* aliapa kuwapa baba zenu na wazao wao, nchi itiririkayo maziwa na asali. \¬v