\v=10 \v~=Lakini mtavuka Yordani na kuishi katika nchi \nd Bwana\nd* Mungu wenu anayowapa kama urithi, naye atawapa pumziko kutokana na adui zenu wote wanaowazunguka ili ninyi mpate kuishi kwa salama. \¬v