\v=12 \v~=Hapo furahini mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ninyi, wana wenu na binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, pamoja na Walawi kutoka miji yenu ambao hawana mgawo wala urithi wao wenyewe. \¬v