\v=14 \v~=Mtazitoa tu mahali pale ambapo \nd Bwana\nd* atachagua katika mojawapo ya makabila yenu, nanyi hapo zingatieni kila jambo ninalowaamuru. \¬v \¬p