\p \v=15 \v~=Hata hivyo, mnaweza kuwachinja wanyama wenu katika miji yenu yoyote ile na kula nyama nyingi mpendavyo kama vile mmemchinja paa au kulungu, kulingana na baraka mtakazojaliwa na \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Watu walio najisi au walio safi wanaweza kula. \¬v