\v=18 \v~=Badala yake, mtakula vitu hivyo katika uwepo wa \nd Bwana\nd* Mungu wenu mahali ambapo \nd Bwana\nd* Mungu wenu atapachagua: wewe, wana wako na binti zako, watumishi wako wa kiume na wa kike, na Walawi kutoka miji yenu. Mnatakiwa mfurahi mbele za \nd Bwana\nd* Mungu wenu kwa kula kitu mtakachoweka mikono yenu. \¬v