\p \v=26 \v~=Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale \nd Bwana\nd* atakapopachagua. \¬v