\v=27 \v~=Leteni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu, vyote nyama na damu. Damu ya dhabihu zenu lazima imiminwe kando ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu, lakini nyama mnaweza kula. \¬v