\v=31 \v~=Kamwe msimwabudu \nd Bwana\nd* Mungu wenu kwa njia wanayoabudu miungu yao, kwa sababu katika kuabudu miungu yao, wanafanya aina zote za machukizo anayoyachukia \nd Bwana\nd*. Hata huwateketeza wana wao na binti zao kwa moto kama kafara kwa miungu yao. \¬v \¬p