\v=5 \v~=Bali mtatafuta mahali \nd Bwana\nd* Mungu wenu atakapopachagua katika makabila yenu yote ili aliweke jina lake huko kuwa makao yake. Mahali hapo ndipo iwapasapo kwenda; \¬v