\v=7 \v~=Hapo, katika uwepo wa \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ninyi pamoja na jamaa zenu, mtakula na kufurahia kila kitu ambacho mmegusa kwa mikono yenu, kwa sababu \nd Bwana\nd* Mungu wenu amewabariki. \¬v \¬p