\v=16 \v~=Kusanyeni nyara zote za mji katika uwanja wa wazi na kuuchoma mji kabisa pamoja na nyara zake zote kama sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Utabaki kuwa magofu milele na hautajengwa tena. \¬v