\v=18 \v~=kwa sababu mnamtii \nd Bwana\nd* Mungu wenu, mkizishika amri zake zote zile ninazowapa leo na kufanya lile lililo jema machoni pake. \¬v \¬p \¬c