\v=5 \v~=Huyo nabii au mwota ndoto lazima auawe, kwa sababu amehubiri uasi dhidi ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa; amejaribu kuwageuza kutoka njia ambayo \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwaagiza mfuate. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu. \¬v \¬p