\v=24 \v~=Lakini ikiwa mahali pale ni mbali sana nanyi mmebarikiwa na \nd Bwana\nd* Mungu wenu na hamwezi kubeba zaka yenu (kwa sababu mahali pale \nd Bwana\nd* atakapopachagua kuliweka Jina lake ni mbali sana), \¬v