\v=29 \v~=ili Walawi (ambao hawana mashamba wala urithi wao wenyewe) na wageni, yatima na wajane wanaoishi kwenye miji yenu wapate kuja kula na kushiba, ili \nd Bwana\nd* Mungu wenu apate kuwabariki ninyi katika kazi zote za mikono yenu. \¬v \¬p \¬c