\v=10 \v~=Mpe kwa ukarimu na ufanye hivyo bila kinyongo moyoni, ndipo kwa sababu ya hili \nd Bwana\nd* Mungu wenu atakubariki katika kazi zako zote na kwa kila kitu utakachokiwekea mkono wako. \¬v