\v=14 \v~=Mpe kwa uhuru kutoka zizi lako la kondoo na mbuzi, kutoka sakafu yako ya kupuria nafaka na kutoka mashinikizo yako ya kukamulia divai. Mpe kama vile ambavyo \nd Bwana\nd* Mungu wako alivyokubariki. \¬v