\v=15 \v~=Kumbukeni kuwa ninyi mlikuwa watumwa huko Misri naye \nd Bwana\nd* Mungu wenu aliwakomboa. Ndiyo sababu nimewapa agizo hili leo. \¬v \¬p