\v=5 \v~=ikiwa tutamtii \nd Bwana\nd* Mungu wenu kikamilifu na kuwa waangalifu kuyafuata maagizo haya yote ninayowapa leo. \¬v