\v=9 \v~=Jihadhari usijiwekee wazo hili ovu: “Mwaka wa saba, mwaka wa kufuta madeni umekaribia,” usije ukaonyesha nia mbaya kwa ndugu yako mhitaji na ukaacha kumpa chochote. Anaweza kumlalamikia \nd Bwana\nd* dhidi yako nawe utakuwa umepatikana na hatia ya dhambi. \¬v