\v=15 \v~=Kwa siku saba mtaiadhimisha sikukuu ya \nd Bwana\nd* Mungu wenu katika mahali atakapopachagua \nd Bwana\nd*. Kwa kuwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu atawabariki katika mavuno yenu na katika kazi zote za mikono yenu na furaha yenu itakamilika. \¬v \¬p